Habari and Vyombo vya Habari: Janga la 4615

Taarifa ya Habari na Ithibati

14

Wakazi wengi wa Jiji la New York waliopata hasara kutokana na Kimbunga Ida wanalindwa na mashirika yao ya bima. Lakini hata bima nzuri zaidi yaweza isifidie kila hitaji, jambo linalosababisha kuwepo kwa miradi ya jimbo, serikali ya kitaifa na mashirika mengine yasiyo ya serikali.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |
Wewe kama mwathiriwa stahiki wa mkasa uliyeanza kupokea fedha ya msaada wa kodi ya nyumba, matengenezo ya nyumba, au aina nyingine za usadidizi, unahakikishiwa kwamba fedha za mikasa hazina tozo lolote.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |
Baada ya mkasa, walaghai, matapeli na wahalifu wengine mara nyingi hujitokeza kuwahadaa waathiriwa wa mkasa. Maafisa wa kitaifa na wa jimbo wanaosimiamia majanga ya dharura wanawasihi wakazi kuwa makini na kuripoti vitendo vyovyote vya kutiliwa shaka.
illustration of page of paper Karatasi za Ukweli |
Msaada wa nchi wa kukabiliana na majanga si wa wamiliki wa nyumba tu. Pia, unapatikana kwa wakodishaji wanaostahili, na unaweza kushughulikia gharama kama vile fanicha, vifaa vinahusiana na kazi, urekebishaji wa gari, na vilevile gharama za kitiba na za matibabu ya meno zinazosababishwa na janga.
illustration of page of paper Taarifa ya Habari |

PDFs, Michoro na Vyombo tofauti vya Habari

Tazama Zana za Vyombo Tofauti vya Habari kwa maudhui ya mitandao ya kijamii na video ili kusaidia kuwasiliana kuhusu msaada wa jumla wa majanga.

Hakuna faili ambazo zimetambulishwa na janga hili.