Vifaa Vya Kusaidia Kurudia Hali za Kawaida

FEMA imekusanya vifaa ambavyo vimetumiwa mara kwa mara na habari za kukusaidia kuwasiliana na kuanza hatua ya kurelea hali kawaida.

Vifaa Vya Mawasiliano

Pakua habari za mbinu anuwai za mawasiliano kama vile michoro ya kijamii, vijikaratasi vyenye ujumbe, matangazo, video na vibonzo katika lugha mbalimbali ili kukusaidia kushiriki na wengine habari muhimu za janga kabla, wakati na baada ya janga.

Pata habari katika lugha zingine mbali na Kiingereza kuhusu programu za kuandaa msaada wa janga, kujitayarisha kwa ajili ya janga, hatua za kuchukua na shughuli za kusaidia kurudia hali za kawaida, na bima ya mafuriko. 

Graphic
Three people talking, one with a cartoon speech bubble.

Vifaa Vya Kusaidia Kurudia Hali za Kawaida

Pata majibu kwa maswali yanayoulizwa mara nyingi kuhusu msaada wa janga, makao ya dharura, bima ya mafuriko na zaidi.

Jifunze jinsi ya kusaidia kutegemeza Wamarekani wanapokuwa na uhitaji kabisa.

Jifunze jinsi ya kufanya sehemu yako katika kumaliza kuenea kwa fununu na jinsi ya kutambua ulaghai.

Pata mwongozo wa kukusaidia kupata tena vitu vya thamani vya familia yako baada ya janga.

alert - info

Iwapo unatafuta msaada wa kifedha baada ya janga, tembelea ukurasa wa FEMA wa msaada wa janga.

Ilisasishwa mara ya mwisho