Press Releases

Watu walioathiriwa moja kwa moja na dhoruba kali za Julai 25-28 na mafuriko katika jiji la Saint Louis na Kaunti ya Saint Louis wana siku tatu pekee za kuwasilisha maombi kwa ajili ya msaada wa majanga wa Fema.
illustration of page of paper
Kituo cha Msaada wa Majanga (DRC) katika Chuo cha Ufundi cha Ranken huko St. Louis kitafungwa Jumatatu, Novemba 7 saa kumi na moja jioni (5pm).
illustration of page of paper
Jiji la St. Louis, Kaunti ya St. Louis na Kaunti ya St. Charles zimebakia na wiki moja pekee kutuma maombi ya msaada wa majanga ya FEMA kabla ya tarehe ya mwisho ya Novemba 7.
illustration of page of paper
Kituo cha Msaada wa Majanga katika University City kitafungwa kabisa Jumatano, Novemba 2 saa kumi na moja jioni (5pm)
illustration of page of paper
Jiji la St. Louis, Kaunti ya St. Louis na Kaunti ya St. Charles zimebakia na wiki mbili pekee kutuma maombi ya msaada wa majanga ya FEMA kabla ya tarehe ya mwisho ya Novemba 7.
illustration of page of paper
Zaidi ya dola milioni 101.2 za usaidizi wa serikali na jimbo sasa zimeidhinishwa kwa wakazi wa Jiji la St. Louis, Kaunti ya St. Louis na Kaunti ya St. Charles walioathiriwa na mafuriko ya Julai 25-28. Takriban wafanyakazi 200 wa serikali kutoka kote nchini wamesalia kazini huko Missouri wakisaidia kukabiliana na athari za mafuriko.
illustration of page of paper
Kituo cha Msaada wa Majanga katika Kaunti ya St. Louis kitafungwa siku ya Jumanne, Oktoba 18 na kufunguliwa tena Jumatano, Oktoba 19 saa mbili asubuhi (8am). Kituo kitafungwa kabisa Ijumaa, Oktoba 21 saa kumi na moja jioni (5pm).
illustration of page of paper
FEMA inatoa maelezo bila malipo kuhusu jinsi ya kufanya nyumba yako iwe imara na salama - iwe iliharibiwa na mafuriko msimu huu wa kiangazi au la.
illustration of page of paper
Kituo cha Msaada wa Majanga katika Kaunti ya St. Louis kitafungwa Jumatano, Oktoba 12 saa kumi na mbili jioni (6 p.m). Kitafunguliwa tena kama Kituo cha Kutoa Mikopo ya Majanga (DLOC) cha Utawala wa Biashara Ndogo ya Marekani (SBA) mnamo Alhamisi, Oktoba 13 saa tatu asubuhi (9 a.m).
illustration of page of paper
Vituo vyote vya Msaada wa Majanga vitafungwa Jumatatu, Oktoba 10 ili kuadhimisha Columbus/Indigenous Peoples’ Day na kufunguliwa tena Jumanne, Oktoba 11 saa mbili asubuhi.
illustration of page of paper