Vifaa vya Mbinu Anuwai vya Mawasiliano-Wakati wa Majanga

Hati za Moja kwa Moja za Matangazo

Video & Picha

Kifaa cha Huduma ya Ujumbe Mfupi Wakati wa Majanga

Michoro

Rasilimali zilizo katika ukurasa huu zinafaa kwa washirika walio nje na vyombo vya habari vinavyotafuta habari kuhusu kurejea hali ya kawaida baada ya janga ili kushiriki kwenye mitandao ya kijamii wakati na baada ya janga, kutia ndani: michoro, vijikaratasi vyenye ujumbe, na hati za matangazo, video zinazopatikana na vibonzo katika lugha mbalimbali.

Hati za Moja kwa Moja za Matangazo

Graphic
An Audio Document.

Pakua habari zetu za moja kwa moja za matangazo katika lugha mbalimbali ili kusaidia kuwasiliana na jamii yako kuhusu jinsi ya kuomba msaada wa FEMA.

Tazama Hati Zote

Video na Picha

FEMA ina maelfu ya wafanyakazi waliowekwa sehemu mbalimbali nchini kwa ajili ya shughuli za majanga. Tunashiriki na watu video na picha za karibuni zaidi kwenye mtandao kutoka katika ukurasa wetu wa DVIDS.

FEMA Kwenye YouTube

Tazama orodha ya video za kwenye FEMA YouTube kwa habari kuhusu msaada wa janga ili kuwasaidia manusura kurudia hali yao ya kawaida.

Vibonzo Vya Msaada wa Janga na PSA za (Kiingereza na Kihispania)

Vibonzo hivi vinaeleza jinsi msaada wa serikali hufikia jamii baada ya janga.

Tazama Vibonzo Vyote na PSAs

External Link Arrow

Video za Lugha ya Ishara ya Marekani (ASL)

Video hizi zina habari muhimu zilizowasilishwa kwa lugha ya Ishara ya Marekani (ASL) na maelezo.

Tazama Video Zote za ASL

External Link Arrow
Graphic
Illustration of a spokesperson on a television broadcast being watched by two peoples

FEMA Moja Kwa Moja

Hakuna upeperushaji wa matukio ya moja kwa moja kwa sasa.

Tazama Upeperushaji wa moja kwa moja wa awali

Rasilimali ya Huduma ya Ujumbe Mfupi Wakati wa Majanga

Mawasiliano yanaweza kuathiriwa kunapokuwa na janga. Rasilimali ya kifaa hiki huandaa habari za ujumbe mfupi ambazo unaweza kushiriki na manusura wa janga wakati ambapo huduma ya ujumbe mfupi pekee inapatikana katika eneo.

Michoro

alert - warning

Sorry, there were no results based on your filter selections.
Please reset the filter or change your selections and try again.

Ilisasishwa mara ya mwisho