New York Remnants of Hurricane Ida

4615-DR-NY
New York

Kipindi cha Tukio: Sep 1, 2021 - Sep 3, 2021

Tarehe ya Tangazo: Sep 5, 2021


Umeisha Sasa: Kipindi cha Kutuma Ombi la Msaada wa Janga

alert - warning

Siku ya mwisho ya watu binafsi na familia kutuma ombi la msaada baada ya janga hili kuisha. Huwezi tena kuanzisha dai jipya.

Ili uangalie hali ya dai lililowasilishwa awali, tembelea DisasterAssistance.gov.

Nilituma Ombi la Msaada. Hatua Inayofuata ni Ipi?

Utapokea barua za arifa kutoka kwa FEMA kupitia barua ya Marekani au kwa mawasiliano ya kielektroniki. Huenda ukahitaji kuthibitisha utambulisho wako au kukamilisha ukaguzi wa nyumbani. Ukaguzi wote utafanywa kupitia simu kwa sababu ya janga la COVID-19 na hitaji la kulinda usalama na afya ya wafanyakazi wetu na manusura.

Broshua za “Usaidizi Baada ya Janga”

Ikitafsiriwa katika lugha 27, broshua ya “Usaidizi Baada ya Janga” ni zana inayoweza kushirikiwa katika jumuiya yako ili kuwasaidia watu kuelewa aina za misaada ya FEMA ambayo inaweza kupatikana ili kusaidia watu binafsi na familia katika kupona kupambana na janga.

Pakua broshua

Kujitolea na Kutoa

Kupona kunaweza kuchukua miaka mingi baada ya msiba. Kuna njia nyingi za kusaidia kama vile kutoa pesa taslimu, vitu vinavyohitajika au muda wako. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuwasaidia wale wanaohitaji.

Kufanya Biashara na FEMA

Ikiwa ungependa kutoa huduma za kulipia na bidhaa kwa ajili ya misaada wakati wa janga, tembelea Ukurasa wa Kufanya Biashara na FEMA ili uanze.


Nyenzo za Eneo

Habari za Nchini na Vyombo vya Habari

Tembelea ukurasa wa Habari na Vyombo vya habari upate nyenzo za matukio, laha za maelezo, taarifa kwa vyombo vya habari na nyenzo zingine za media anuwai.

Local Resources Custom Text

The SBA has Customer Service Representatives on site at Disaster Recovery Centers in the declared New York counties

Seven days a week | 8 a.m. - 7 p.m. | DisasterCustomerService@sba.gov | 1-800-659-2955

Additional Federal Resources 


Majukumu ya Ufadhili

Msaada kwa Watu binafsi Amount
Total Housing Assistance (HA) - Dollars Approved $202,024,921.70
Total Other Needs Assistance (ONA) - Dollars Approved $22,420,385.38
Total Individual & Households Program Dollars Approved $224,445,307.08
Individual Assistance Applications Approved 41384
Msaada kwa Umma Amount
Emergency Work (Categories A-B) - Dollars Obligated $14,306,016.61
Permanent Work (Categories C-G) - Dollars Obligated $30,290,255.89
Total Public Assistance Grants Dollars Obligated $45,643,220.59
Last updated March 17, 2023