Tarehe ya mwisho ya Usajili Imeongezwa kwa Siku 14 kwa Waokokaji wa Iowa

Release Date Release Number
017
Release Date:
Oktoba 8, 2020

DES MOINES, Iowa – Waathirika kutoka kwa derecho Agosti 10 la Iowa wana muda zaidi wa kuji andikisha kwa msaada wa Shirikisho wa Federal. Tarehe ya mwisho ya manusura imeongezwa mpaka Jumatatu, Novemba 2.

FEMA ime idhinisha zaidi ya dola milioni 8.5 katika misaada ya Msaada wa Mtu binafsi kwa zaidi ya kaya 2,278. Utawala wa Biashara Ndogo (SBA) ume idhinisha zaidi ya dola milioni 14 kwa mkopo wa majanga kwa wamiliki wa nyumba, wakodishaji, na wafanya biashara ndogo.

Msaada ulio tolewa na FEMA kwa wamiliki wa nyumba unaweza kujumuisha misaada ya ukarabati ili kufanya nyumba yao ya msingi iweze kuishi. Msaada wa kukodisha unapatikana kulipia nyumba za muda kwa wamiliki wa nyumba na wapangaji. Kulipa gharama za makazi ina weza kupatikana kwa kaya zinazostahiki ambao wanaweza kuwa walikaa katika hoteli kwa muda mfupi.


Kwanza, ikiwa hauja fanya hivyo, wasiliana na kampuni yako ya bima na uweke dai la uharibifu ulio sababishwa na maafa. Sio lazima subiri kwa FEMA kuanza kusafisha. Hakikisha kuchukua picha au video ya uharibifu na kuweka risiti zote za kazi ya ukarabati.

Ikiwa una hasara ambazo hazija funikwa na bima, wasiliana na FEMA kwa kwenda mtandaoni kwa DisasterAssistance.gov au kwa kupiga simu kwa nambari ya msaada kwa 800-621-3362.

Waombaji watahitaji yafuatayo kuomba:

  • Anwani ya mali iliyo haribiwa
  • Maelezo ya uharibifu na hasara zinazo sababishwa na majanga
  • Anwani ya sasa ya barua
  • Nambari ya simu ya sasa
  • Nambari ya Hifadhi (Social Security Numbers) ya Jamii ya mtu mmoja wa kaya
  • Habari za bima
  • Jumla ya mapato ya mwaka ya kaya
  • Uelekezaji (Routing Number) wa akaunti ya benki na nambari ya akaunti kwa amana ya moja kwa moja
  • Hifadhi nambari yako ya usajili ya FEMA, inayo julikana pia kama nambari ya kitambulisho cha FEMA.
  • Angalia akaunti yako ya  DisasterAssistance.gov kwa ya sasa.

Hii ni kwa wakaazi wa kaunti za Iowa za Benton, Boone, Cedar, Clinton, Jasper, Linn, Marshall, Polk, Poweshiek, Scott, Story na Tama.

Utawala wa Biashara Ndogo ya Amerika (SBA) hutoa mikopo ya shirikisho (Federal) ya riba ya chini kwa wafanya biashara wa ukubwa wote, mashirika mengi ya kibinafsi yasiyo ya faida, wamiliki wa nyumba na wapangaji.

Uomba kwa https://disasterloanassistance.sba.gov. Watu wanaweza pia kupiga 800-659-2955 au barua pepe FOCWAssistance@sba.gov. Watu viziwi au wenye kwana shida ku sikia  wanaotumia TTY wanaweza kupiga simu 800-877-8339.

Tags:
Ilisasishwa mara ya mwisho