This page has not been translated into Swahili. Visit the Swahili page for resources in that language.
Iowa Severe Storms, Flooding, Straight-line Winds, and Tornadoes
Kipindi cha Tukio: Jun 16, 2024 - Jul 23, 2024
Tarehe ya Kutangaza: Jun 24, 2024
Viunganishi vya Haraka
- Rasilimali za urejeshaji: Jimbo na Mitaa | Kitaifa
- Wasiliana: Mitandao ya Kijamii | Programu ya Simu na Ujumbe
- Ushauri masaa 24/7: Nambari ya Msaada ya Majanga
Kwenye Ukurasa Huu
Sasa Imefungwa: Kipindi cha Kutuma Ombi la Msaada wa Majanga
Mengi zaidi Kuhusu Janga Hili
Rasilimali za Mitaani
Habari za Mitaani
Habari za Nchini na Vyombo vya Habari
Tembelea ukurasa wa Habari na Vyombo vya Habari kwa matukio, karatasi za ukweli, taarifa kwa vyombo vya habari na njia zingine za mawasiliano.
Jinsi ya Kusaidia
Kujitolea na Kutoa Michango
Kurejesha kunaweza kuchukua miaka mingi baada ya janga. Kuna njia nyingi za kusaidia kama vile kutoa pesa taslimu, vitu vinavyohitajika au wakati wako. Jifunze zaidi kuhusu jinsi ya kuwasaidia wale wanaohitaji.
Usijitume kwenye maeneo ya majanga. Mashirika yanayoaminika katika maeneo yaliyoathiriwa yanajua mahali watu wa kujitolea wanahitajika. Fanya kazi na shirika linaloaminika ili kuhakikisha kuwa una usalama, mafunzo na ujuzi ufaao unaohitajika ili kujitolea.
Wakala wa Ushirikiano wa Kujitolea wa FEMA (VALs) hujenga uhusiano na kuratibu juhudi na mashirika ya hiari, ya kidini na ya kijamii yanayojishughulisha na majanga.
Kufanya Biashara na FEMA
Iwapo ungependa kutoa huduma na bidhaa zinazolipiwa kwa ajili ya usaidizi wa majanga, tembelea ukurasa wetu wa Kufanya Biashara na FEMA ili kuanza.
Ikiwa unamiliki biashara inayohusika na uondoaji wa vifusi na ungependa kufanya kazi ya kusafisha maeneo yaliyoathirika, tafadhali wasiliana na serikali ya mtaa katika maeneo yaliyoathirika ili kutoa huduma zako.
Majukumu ya Ufadhili
Usaidizi wa Mtu Binafsi | Kiasi |
---|---|
Jumla ya Msaada wa Makao (HA) - Dola Zilizoidhinishwa | $43,849,697.65 |
Jumla ya Msaada wa Mahitaji Mengine (ONA) - Dola Zilizoidhinishwa | $20,893,490.98 |
Jumla ya Dola za Mpango wa Mtu Binafsi na Familia Zilizoidhinishwa | $64,743,188.63 |
Maombi ya Msaada wa Mtu Binafsi Yameidhinishwa | 6023 |