Ime bakiya chini ya wiki moja kujiandikisha kwa usaidizi wa FEMA
DES MOINES, Iowa – Walio nusurika kwa derecho ya Agosti 10 wana chini ya wiki moja kuji andikisha kwa usaidizi wa janga na FEMA na kuomba mkopo wa maafa ya riba ndogo ya Amerika.
Hadi sasa, zaidi ya dola milioni 28 za msaada wa shirikisho zime idhinishwa kwa wakazi wa Iowa katika kaunti za Benton, Boone, Cedar, Clinton, Jasper, Linn, Marshall, Polk, Poweshiek, Scott, Story na Tama.