This page has not been translated into Swahili. Visit the Swahili page for resources in that language.
Massachusetts Covid-19 Pandemic
Kipindi cha Tukio: Jan 20, 2020 and continuing.
Tarehe ya Tangazo: Mar 27, 2020
Viungo vya Haraka
- Nyenzo za maelezo ya kupona: Nchi na Eneo | Kitaifa
- Wasiliana: Mitandao ya Kijamii | Programu ya Simu na Ujumbe
- Ushauri wakati wowote: Nambari ya Dharura ya Tatizo la Janga
Maelezo Zaidi Kuhusu Janga Hili
Help for Individuals and Families After a Disaster
Ikiwa una bima, unapaswa kuwasilisha dai kwa kampuni yako ya bima mara moja. Msaada wa FEMA hauwezi kulipia hasara ambazo tayari zimelipwa na bima.
Tuma Ombi la Msaada Wakati wa Janga
Njia ya haraka zaidi ya kutuma ombi ni kupitia DisasterAssistance.gov. Unaweza pia kutuma ombi kwa kupigia 1-800-621-3362 (TTY 1-800-462-7585) au kupitia Programu ya simu ya FEMA.
Pata Usaidizi wa Papo Hapo
Tafuta usaidizi kuhusu mahitaji ambayo FEMA haijaidhinishwa kutoa. Wasiliana na maafisa wa usimamizi wa dharura wa eneo lako, mashirika ya kujitolea au kwa kupigia hudumu ya 2-1-1 ya mahali uliko.
Niliambiwa Nipigie simu Usimamizi wa Biashara Ndogo
imetambua nyenzo za kuwapa wamiliki wa biashara, mashirika yasiyo ya kibiashara, wamiliki wa nyumba na wapangaji majibu kwa maswali yao kuhusu mpango wa mkopo wakati wa janga wa SBA, kueleza mchakato wa kutuma maombi na kusaidia kila mtu kukamilisha ombi lake la mkopo la kielektroniki. Nyenzo hizi zinaweza kuwa za mtandaoni au za kupatikana kwenye majengo maalum, kulingana na mazingira yanayohusiana na janga na vigezo vingine. Bofya hapa ili upate maelezo zaidi: DisasterLoanAssistance.sba.gov/ela/s/
Ili kupata maelezo kuhusu aina ya kituo kinachohudumia eneo lako, eneo/maeneo, na saa za kazi, tembelea sehemu iliyo hapa chini yenye mada “Nyenzo za Eneo” au pigia Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Janga cha SBA kupitia1-800-659-2955 au tuma barua pepe kwa DisasterCustomerService@sba.gov.
Angalia maelezo zaidi kuhusu mikopo ya SBA.
Nilituma Ombi la Msaada. Hatua Inayofuata ni Ipi?
Utapokea barua za arifa kutoka kwa FEMA kupitia barua ya Marekani au kwa mawasiliano ya kielektroniki. Huenda ukahitaji kuthibitisha utambulisho wako au kukamilisha ukaguzi wa nyumbani. Ukaguzi wote utafanywa kupitia simu kwa sababu ya janga la COVID-19 na hitaji la kulinda usalama na afya ya wafanyakazi wetu na manusura.
Broshua za “Usaidizi Baada ya Janga”
Ikitafsiriwa katika lugha 27, broshua ya “Usaidizi Baada ya Janga” ni zana inayoweza kushirikiwa katika jumuiya yako ili kuwasaidia watu kuelewa aina za misaada ya FEMA ambayo inaweza kupatikana ili kusaidia watu binafsi na familia katika kupona kupambana na janga.
Nyenzo za Eneo
Ofisi za Eneo Uliko
Habari za Nchini na Vyombo vya Habari
Tembelea ukurasa wa Habari na Vyombo vya habari upate nyenzo za matukio, laha za maelezo, taarifa kwa vyombo vya habari na nyenzo zingine za media anuwai.
How to Help
Volunteer and Donate
Recovery can take many years after a disaster. There are many ways to help such as donating cash, needed items or your time. Learn more about how to help those in need.
Don’t self-deploy to disaster areas. Trusted organizations in the affected areas know where volunteers are needed. Work with an established organization to make sure you have the appropriate safety, training and skills needed to respond.
FEMA Voluntary Agency Liaisons (VALs) build relationships and coordinate efforts with voluntary, faith-based and community organizations active in disasters.
Doing Business with FEMA
If you are interested in providing paid services and goods for disaster relief, visit our Doing Business with FEMA page to get started.
If you own a business involved with debris removal and want to work on clean-up efforts in affected areas, please contact the local government in affected areas to offer your services.
Majukumu ya Ufadhili
Msaada kwa Watu binafsi | Amount |
---|---|
Total Other Needs Assistance (ONA) - Dollars Approved | $62,058,654.76 |
Total Individual & Households Program Dollars Approved | $62,058,654.76 |
Individual Assistance Applications Approved | 9131 |
Msaada kwa Umma | Amount |
---|---|
Emergency Work (Categories A-B) - Dollars Obligated | $1,523,406,840.85 |
Total Public Assistance Grants Dollars Obligated | $1,608,073,410.07 |
Hazard Mitigation Assistance | Amount |
---|---|
Hazard Mitigation Grant Program (HMGP) - Dollars Obligated | $3,775,187.77 |